Kisiwa cha Minawe

KShs450

“Mama zetu hutuambia, yaone yakienda, usiyaone yakija!” Kisiwa cha Minawe kimewaka moto. Dhuluma, unyanyasaji na ukatili umekithiri, navyo vilio vya walalahoi ni kelele tupu kwa masikio ya viongozi. Mikakati ya kutetea haki imewaathiri waliokuwamo na wasiokuwamo. Ogada anajitosa mzima mzima katika mikakati hii ya kukikomboa Kisiwa cha Minawe kutokana na ukatili huu ila Sada anamponyoka asiweze kumuokoa.

 

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Sold By Flick Trix Report Abuse

Report an abuse for product Kisiwa cha Minawe

Categories: , , , Tag:

Description

Kisiwa cha Minawe ni riwaya iliyoandikwa na Mary Ambi. Riwaya hii inaangazia maisha na changamoto za kijamii, siasa na gharama ya maisha wanazopitia watu wanaoishi kisiwani Minawe. Mhusika mkuu ni Ogada, kijana tajiri lakini mwenye kujinyima na kuwa na uhusiano mwema na watu wa mapato ya chini kiasi cha kwamba, hata ingawa ni mgeni kisiwani Minawe, amefanikiwa kuelewana na watu wa dini mbili zinazotofautiana: wakristo na waislamu.
Katika maisha ya dhuluma na unyanyasaji, Ogada anaongoza watu wa mtaa wa Makongo anakoishi katika maandamano ya amani wakati wa mazishi ya Mama Maria, aliyefariki baada ya kanisa lao kulipuliwa katika kile kilichodaiwa kuwa uhasama wa kidini. Huu unakuwa mwanzo wa Ogada kuchukua jukumu la kuongoza wana wa Minawe kupigania haki zao.

Flick Trix

0 out of 5
No Reviews Yet

Flick Trix is a media business that was officially registered in 2010 with expertise in media design, technology and creative writing. We presently do:

•Creative Writing (TV/Film/Documentary Scripts) and Digital Book Publishing
• Editing & Consultation on Film Scripts
• Video Coverage, Editing & Photography
• Graphic Design
• Media Technology Integration (Telecommunication & I.T.)

More Products from Flick Trix

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kisiwa cha Minawe”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Questions and Answers

You are not logged in